Muhammad A Salim( Masam) one among Youth Champion on SDG's atoa semina elekezi kwa wanafunzi wa diploma na waliomaliza kidato cha sita jinsi ya kufanya maombi ya mikopo ya elimu ya juu Zanzibar na HSELB pamoja na jinsi ya kufanya maombi ya elimu ya juu, akishirikiana na maafisa kutoka bodi ya mikopo ya Zanzibar.
Semina hiyo ilifanyika katika chuo uongozi wa fedha zanzibar. ( Zanzibar institute of financial administration - ZIFA)
Katika ujenzi wa taifa,
Muhammad Abdalla Salim (Masam)
National VIce Chairperson United Nation Chapter
National VIce Chairperson United Nation Chapter
+255 716 163696 | +255 778 863696.
fb: Muhammad Mgeituff | twitter: DonMasam
www.abrarsolutions.com
fb: Muhammad Mgeituff | twitter: DonMasam
www.abrarsolutions.com
No comments :
Post a Comment